Nyumba inauzwa
Eneo: NJIRO ARUSHA
BEI: MILIONI MIAMOJA NA SITINI
UKUBWA: MITA ZA MRABA 873
HADHI: HATI MIAKA 66
UNAPATA HUDUMA YA KUHAMISHA UMILIKI BURE, PAMOJA NA MKATABA WA UNUNUZI BURE isipokuwa TU UTALIPA ADA YA SERIKALI
Mawasiliano yanakwenda moja kwa moja kwa mwenye mali/huduma.